Swahili
Kenyan national anthem (Ee Mungu Nguvu Yetu)
English translation
O God, of all creation (Kenyan National Anthem)
Ee Mungu nguvu yetu
Oh God of all creation
Ilete baraka kwetu
Bless this our land and nation
Haki iwe ngao na mlinzi
Justice be our shield and defender
Natukae na undugu
May we dwell in unity
Amani na uhuru
Peace and liberty
Raha tupate na ustawi.
Plenty be found within our borders.
Amkeni ndugu zetu
Let one and all arise
Tufanye zote bidii
With hearts both strong and true
Nasi tujitoe kwa nguvu
Service be our earnest endeavour
Nchi yetu ya Kenya
And our homeland of Kenya
Tunayoipenda
Heritage of splendour
Tuwe tayari kuilinda
Firm may we stand to defend
Natujenge taifa letu
Let all with one accord
Ee, ndio wajibu wetu
In common bond united
Kenya istahili heshima
Build this our nation together
Tuungane mikono
And the glory of Kenya
Pamoja kazini
The fruit of our labor
Kila siku tuwe na shukrani
Fill every heart with thanksgiving.